STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 24 Agosti 2014

KWA MZIGO WA PAUNDI MILIONI 60 ANGEL DI MARIA ANATUA OLD TRAFFORD

Action man: Angel Di Maria featuring for Real Madrid against Atletico Madrid in their Super Cup clash
  Angel Di Maria aliichezea  Real Madrid dhidi ya  Atletico Madrid  katika mechi ya Super Cup 

MANCHESTER United wanakaribia kukamilisha usajili ghali wa Muargentina, Angel Di Maria kwa paundi milioni 60.
Uhamisho huo ukikamilika utavunja rekodi ya klabu hiyo katika usajili.
United wamekuwa wakifuatilia dili la nyota huyo wa Real Madrid kwa muda mrefu na inafahamika kuwa wametoa ofa ya mshahara wa paundi laki mbili kwa wiki.
kwa sasa inafahamika kuwa Di Maria imewaambia United kuwa atakuja Old Trafford na sasa klabu hiyo ipo katika mazungumzo ya kukubaliana ada ya uhamisho na Real madrid.
High flyer: Di Maria is expected to sign for Manchester United for £60 million and £200,000-a-week wages
 Kiwango cha juu: Di Maria anatarajia kujiunga na Manchester United kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 60 na mshahara wa paundi laki mbili kwa wiki. 
Seal of approval: Gary Neville believe Di Maria is the type of player Manchester United should sign
Kifaa cha ukweli: Gary Neville anaamini kuwa Di Maria ndio aina ya wachezaji wanaotakiwa kusajiliwa na Manchester United

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox