STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 20 Agosti 2014

MARCOS ROJO AWASILI MANCHESTER UNITED, ATARAJIWA KUANGUKA MIAKA MINNE

Arrival: Marcos Rojo touched down in England on Tuesday ahead of a move to Manchester United
Marcos Rojo alitua nchini England jana kukamilisha taratibu za usajili katika klabu ya Man United.

MANCHESTER United wamekubali kulipa dau la paundi milioni 16 ili kumsajili beki wa Sporting Lisbon, Marcos Rojo.
Rojo alitua jana jioni mjini Manchester na alisema kujiunga na United "anahisi ni kama ndoto'.
Beki huyo kisiki anatarajia kusaini mkataba wa miaka minne baada ya kufuzu vipimo vya afya na kukubaliana mambo binafsi.
Louis van Gaal ameamua kumsajili beki huyo kufuatia kipigo cha jumamosi cha mabao 2-1 katika mechi ya ufunguzi wa ligi kuu England dhidi ya Swansea City.
Incoming:  Rojo is heading to Manchester United after they agreed a fee with Sporting Lisbon
Karibu kijana: Rojo anajiaunga na United baada ya Sporting Lisbon kukubalia dau la uhamisho.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox