STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 16 Agosti 2014

SAKATA LA BASI LA TFF LACHUKUA SURA MPYA.....



Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesema litafanya uchunguzi kujua uhakika wa deni unalodaiwa na kampuni ya kutengeneza tiketi ya nchini Kenya.
TFF ilikuwa inadaiwa Sh milioni 140, lakini inaelezwa imelipa Sh milioni 70 na bado basi lake aina ya Youtong linashikiliwa kutokana na deni hilo.

Wambura amesema watafanya uchunguzi, lakini akasisitiza, uchache wa watu kwenye baadhi ya mechi kimekuwa chanzo cha
deni hilo.
“Unajua kuna wakati mechi zinakuwa na watu wachache sana, lakini wenyewe wame-supply tiketi tu.
“Hivyo ni lazima ulipe na utaona mechi kadhaa zikiwa namna hiyo, deni linaongezeka kwa kuwa mechi hizo zinakuwa hazilipi.
“Kuna mambo ya kuangalia lakini tunaendelea kujitahidi kiasi kilichobakia kimalizike,” alisema Wambura.
Wadau wa soka wameonyesha kushangazwa na taarifa za kukamatwa kwa basi hilo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox