STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 13 Agosti 2014

VAN GAAL AENDELEZA MARAHA MAN UNITED, YAICHAPA 2-1 VALENCIA

Shujaa wa leo: Fellaini (wa tatu kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi
KOCHA Louis van Gaal ameendelea kuwapa raja mashabiki wa Old Trafford baada ya Manchester United jana kuifunga Valencia mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki.
Sifa zimuendee Marouane Fellaini aliyefunga bao la ushindi dakika ya 90 na ushei katika mchezo ambao, Wayne Rooney alikosa penalti kipindi cha kwanza iliyookolewa na Diego Alves.
United ilitangulia kupata bao kupitia kwa Darren Fletcher dakika ya 49 kabla ya Rodrigo kuisawazishia Valencia dakika ya 71.
Kikosi cha Manchester United: De Gea; Jones, Smalling, Blackett; Young, Fletcher, Herrera, James; Mata; Rooney, Hernandez
Valencia: Alves; Barragan, Vezo, Otamendi, Gaya; Parejo, J. Fuego, Andre Gomes; Feghouli, Alcacer, Rodrigo
 
Unlikely hero: Marouane Fellaini scored a dramatic winner in Manchester United's 2-1 victory
Marouane Fellaini akiifungia Manchester United bao la ushindi dhidi ya Valencia

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox