MSHAMBULIAJI
wa kimataifa wa England, Wayne Rooney ametuliwa kuwa Nahodha wa kikosi
cha Manchester United na kocha Louis van Gaal.
Mholanzi
huyo amevutiwa shughuli ya mpachika mabao huyo wa England tangu aanze
kazi Old Trafford na anaamini atakuwa chaguo sahihi kuwa kiongozi wa
wachezaji wenzake katika timu.
"Kwangu, wakati wote muhimu chaguo la Nahodha," amesema Van Gaal katika tovuti ya klabu hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni