Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal (kulia) akiwa na wakala wa Di Maria, Jorge Mendes kushoto leo
DILI
la Angel di Maria kutua Manchester United linakaribia kabisa kutimia
baada ya wakala wake, Jorge Mendes kupigwa picha akiwa na kocha wa
Mashetani hao Wekundu, Louis van Gaal.
Van
Gaal alikuwa akitabasamu na Mendes wakati wawili hao wakiwa kwenye gari
kuelekea viwanja vya mazoezi vya United leo wakitazamiwa kukamilisha
dili la Di Maria na klabu hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni