STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 4 Septemba 2014

ANGALIA PICHA ZA HOTELI YA KIFAHARI WANAISHI NYOTA WAPYA WA MANCHESTER UNITED


NYOTA wa Manchester United waliosajiliwa majira ya kiangazi mwaka huu wana matumaini ya kutulia zaidi katika maisha ya ligi kuu England wakati huu wakitafuta sehemu za kuishi watakazotangaza wiki zijazo.
Kwasasa, Radamel Falcao, Angel di Maria, Daley Blind, Ander Herrera, Luke Shaw na Marcos Rojo wanaishi katika hoteli moja ya kifahari ya Lowry Hotel iliyopo mjini Manchester.
Five-star: Marcos Rojo (left) is another one of United's summer signings staying at the five-star establishment
Nyota watano: Marcos Rojo (kushoto) ni miongoni mwa wachezaji watano waliosajiliwa majira ya kiangazi ili kuimarisha kikosi cha United.
Five-star: The Lowry Hotel has enjoyed as much success as Manchester Unitedm, with more than 60 awards
The Lowry Hotel ni sehemu tulivu mno mjini Manchester
Workout: The Red Devils' summer arrivals can pay £600 for a year's membership in the Lowry hotel gym
Kazi kama kawaida: Wachezaji wapya wa Manchester United wanaweza kulipa paundi 600 kwa mwaka wakiishi katika Gym ya Hotel ya  Lowry
Room for the night: A double room at The Lowry costs £252 while a family suite will set guests back £748
Chumba cha kulala katika hoteli hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox