STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 4 Septemba 2014

CRISTIANO RONALDO AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSU MANCHESTER UNITED

Speed demon: Cristiano Ronaldo poses in front of a McLaren super car during a Tag Heuer 
 Cristiano Ronaldo anatamani kurudi Old Trafford

MWANASOKA bora wa dunia na Ulaya, Cristiano Ronaldo bado ana mapenzi ya dhati na klabu yake ya zamani ya Manchester United.
Ronaldo katika maisha yake hawezi kuisahau United na amesema anaipenda kutoka moyoni mwake.
 "Naipenda Manchester," alisema. "Kila mtu anajua hilo--na nimesema mara nyingi".
"Manchester iko moyoni mwangu. Niliwaacha marafiki wengi pale, mashabiki wake ni waajabu na natamani kurudi siku moja".

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox