STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 29 Septemba 2014

CHELSEA WANAHAMA STAMFORD BRIDGE KUPISHA UJENZI....UWANJA WA NYUMBANI HUU HAPA...

Chelsea have approached the Rugby Football Union over the possibility of using the 82,000-capacity Twickenham Stadium while Stamford Bridge is redeveloped in a few years' time
Chelsea wamewasiliana na 'Rugby Football Union' wakiomba kutumia uwanja wa  Twickenham kwa miaka kadhaa.

CHELSEA imeanza mchakato wa kuomba kuhamia kwa muda katika uwanja wa  Twickenham kutokana na mipango ya kutaka kuboresha uwanja wa Stamford Bridge.
Tayari Chelsea wameshaanza mawasiliano na mamlaka inayohusika na usimamizi wa uwanja huo ya 'Rugby Football Union.
RFU wamethibitisha kuwa klabu hiyo kubwa ya ligi kuu England imeomba kutumia uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 82,000.
Mwezi juni mwaka huu, Chelsea walitangaza kupanua uwanja wao, lakini hawakutaja muda wa kuanza kazi hiyo.
Kulikuwa na taarifa kuwa klabu hiyo inaweza kutafuta eneo lingine la kudumu la nyumbani, lakini London inapewa kipaumbele.
Chelsea could play their home games at Twickenham on a short-term basis while their ground is redeveloped
Chelsea wanaweza kucheza mechi za nyumbani kwa muda mfupi katika uwanja wa Twickenham 

Siku za nyuma klabu zilikataliwa kutumia uwanja wa Twickenham uliopo Scotland .
 Mkurugenzi wa RFU, Francis Baron alikataa mwaka 2001, wakati Fulham ikitafuta uwanja wa muda wa nyumbani.
Baron alisema: "Hatujavutiwa na suala hilo".
Taarifa ya RFU ilisema : "Tumekuwa na mawasiliano na mashirika mengi , nje na ndani ya michezo kuhusu namna ya kutumia uwanja huo ambao tunaamini ni wa kiwango cha dunia. Tumepata maombi kutoka Chelsea FC, lakini hatujafanya mazungumzo yoyote kuhusu hilo"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox