STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 1 Septemba 2014

DANIEL AGGER AONDOKA LIVERPOOL, AREJEA BRONDBY



  Daniel Agger akiwa na jezi ya Brondby  baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka Liverpool
 
BEKI Daniel Agger amerejea klabu yake ya zamani kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2006 baada ya Mdenmark huyokukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 3 kujiunga na Brondby
Mlinzi huyo wa kati anakwenda klabu hiyo ya Denmark kwa Pauni Milioni 3 baada ya kupiga kazi Anfield kwa miaka nane.
Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Denmark amecheza jumla ya mechi 232 klabu hiyo ya Merseyside, lakini ametwaa taji moja tu, Kombe la Ligi mwaka 2012, maarufu kama Carling Cup Uwanja wa Wembley.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox