STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 7 Septemba 2014

DAVID BECKHAM AFUNGUKA YALIYOPO KWENYE MTIMA WAKE KUHUSU ENGLAND

Finest moments: David Beckham celebrates after scoring the famous equaliser against Greece in 2001, a goal that saw England secure qualification to the World Cup in dramatic fashion at Old Trafford
David Beckham akishangilia baada ya kufunga bao la kusawazisha dhidi ya Ugiriki mwaka 2001 na kuiwezesha England kufuzu fainali za kombe la dunia katika uwanja wa Old Trafford

DAVID Beckham bado mpira wa miguu uko kwenye damu yake na mapenzi aliyonayo katika mchezo huo maarufu duniani yanamfanya akose raha ya kukaa bila kucheza.
"Nakumbuka kuichezea England kuliko kitu chochote," amekiri wazi.
Timu ya England ilipocheza mechi ya kirafiki na Norway  katika dimba la Wemley mbele ya mashabiki 40,000 inaonekana kuwa jambo jema katika moyo wa Beckham.
Ni miaka mitano sasa tangu Beckham astaafu kuvaa jezi ya England baada ya kuichezea mechi 115 na hatimaye kutandika daluga katika mechi ya kufuzu kombe la dunia dhidi ya Belarus ndani ya uwanja wa Wembley.
Nyota huyo wa zamani wa Manchester United aliifungia England mabao 17.
Kwa mtu wa mpira Beckham ambaye alikuwa tunu ya soka duniani kote, jezi nyeupe bado ina maana kubwa kwake.
Manager? Beckham on the sidelines for the 2010 World Cup in South Africa, a tournament he was injured for
Kocha? Beckham akiwa benchi katika fainali za kombe la dunia mwaka 2010 nchini Afrika kusini ambapo England ilijeruhiwa pia.

Beckham alisema: "Bado napenda kukaa na wenzangu, napenda mechi, napenda nilivyokuwa nahodha kwa mechi 59, napenda kila kitu kuhusu England".
"Kuna mambo mengi ya kujivunia kama mchezaji. Naikumbuka Manchester United na Real Madrid na timu nyingine zote nilizocheza, lakini nakumbuka kuichezea England kuliko kitu chochote kile"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox