STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 15 Septemba 2014

DI MARAI ADAI HAKUBAHATISHA KUFUNGA GOLI LAKE LA KWANZA OLD TRAFFORD

Spanish speaker Juan Mata helped interpret Angel di Maria post match interview
Mhispania Juan Mata alimtafsiria kiingereza Angel di Maria katika mahojiano ya baada ya mechi.

ANGEL di Maria amesema bao lake la  kwanza aliloifungia Manchester United jana katika mchezo wa nyumbani linaweza kuonekana kama alibahatisha, lakini Muargentina huyo amedai alipanga apige hivyo.
Bao  la kwanza la Di Maria katika ushindi wa 4-0 dhidi ya QPR alifunga kwa mpira wa adhabu ndogo, mita 35 kutoka kwenye golini.
Mata and Di Maria share a joke in the post-match interview following Manchester United's 4-0 win over QPR
Mata na Di Maria wakitaniana katika mahojiano hayo.
Mata presents Di Maria with his Man of the Match award in the Old Trafford tunnel
Mata akimpa tuzo  Di Maria ya kuwa mchezaji bora wa mechi katika uwanja wa  Old Trafford.

Di Maria aliyesajiliwa kwa paundi milioni 60 majira ya kiangazi mwaka huu akitokea Real Madrid, amesema goli hilo limetokana na mazoezi aliyofanya.
"Nina furaha sana ya kufunga goli langu la kwanza nyumbani," alisema Di Maria."Tumekuwa tukifanya mazoezi kwa wiki nzima na nilifunga kama vile, sio ajabu kwangu"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox