STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 1 Septemba 2014

HATIMAYE RADAMEL FALCAO ATUA MAN UNITED, KULAMBA PAUNDI 200,000 KWA WIKI

 

  Manchester United imemnasa Radamel Falcao kwa mkopo kutoka Monaco
KLABU ya Manchester United imeshinda mbio za kuwania saini ya mshambuliaji Radamel Falcao kutoka Monaco kwa mkopo wa mwaka mmoja.
Mpachika mabao huyo ataigharimu klabu hiyo ya Old Trafford Pauni Milioni 12 kwenda kuungana na Angel di Maria, Daley Blind, Luke Shaw, Ander Herrera na Marcos Rojo katika orodha ya wachezaji wapya kwenye kikosi cha Louis van Gaal.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Colombia mwenye umri wa miaka 28 tayari ameafiki kulipwa mshahara wa Pauni 200,000 kwa wiki na anatarajiwa
kutua Manchester wakati wowote kwa ndege binafasi kukamilisha taratibu.

REKODI YA FALCAO...

River Plate (2005-2009): Mechi 105 mabao 45
Porto (2009-2012): Mechi 87 mabao 72
Atletico Madrid (2011-2013): Mechi 91 mabao 70
Monaco (2013-2014): Mechi 22 mabao 13
Colombia: Mechi 51 mabao 20

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox