STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 1 Septemba 2014

RASMI CHICHARITO NI MCHEZAJI WA REAL MADRID BAADA YA KUFAULU VIPIMO VYA AFYA.....

DAKTARI AKIWA NA JAVIER HARNANDEZ 'CHICHARITO' KABLA YA KUMFANYIA VIPIMO KUJIUNGA NA REAL MADRID.
 
MSHAMBULIAJI Javier Hernandez amekamilisha uhamisho wake wa mkopo kwenda Real Madrid pamoja na uwezekano wa kununuliwa moja kwa moja kutoka Manchester United baadaye.
Real inamchukua mchezaji huyo baada ya kufaulu vipimo vya afya leo mjini Madrid.
United inataka dau la Pauni Milioni 17 kumuuza moja kwa moja mchezaji huyo, lakini kwa mkataba wa sasa wa mkopo wa muda mrefu wa msimu, Louis van Gaal anachukua Pauni Milioni 1.5.
United imethibitisha katika ukurasa wake wa Twitter leo kumtoa kwa mkopo mchezaji huyo kwenda Real Madrid.
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox