STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 1 Septemba 2014

IMETIMIA MIAKA 10 ROONEY MCHEZAJI WA MAN UNITED


  Wayne Rooney (kulia) ametimiza miaka 10 tangu asajiliwe Manchester United kutoka Everton Agosti 2004
 
MSHAMBULIAJI Wayne Rooney jana ametimiza miaka 10 tangu asajiliwe na Manchester United kutoka Everton.
Rooney amepata mafanikio ya kuridhisha akiwa na United, ikiwemo kushinda mataji matano ya Ligi Kuu, moja la Ligi ya Mabingwa, moja la Klabu Bingwa ya Dunia na mawili ya Kombe la Ligi.
Mshambuliaji huyo aliyesajiliwa na Seri Alex Ferguson  kwa Pauni Milioni 25 Agosti 31, mwaka 2004 amefunga mabao 218 katika mechi 444 ndani ya miaka yake 10 kwenye klabu hiyo na sasa amepewa Unahodha na kocha mpya, Louis Van Gaal.
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox