STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 2 Septemba 2014

JACK WILSHERE AMKARIBISHA WELCBECK NDANI YA ARSENAL

Kiungo Jack Wilshere ametupia picha kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram akimkaribisha mshambuliaji wao mpya, Danny Wilbeck.

Wilshere amemkabirisha Welbeck ndani ya Arsenal akiahidi kumpa ushirikiano.

Welbeck na Wilshere sasa wako kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox