STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 2 Septemba 2014

WAKENYA KUWA WA KWANZA KUMJARIBU MAXIMO KIMATAIFA, ANAWAVAA KESHO TAIFA



Thika United imetua jijini Dar tayari kwa mechi yake ya kesho dhidi ya Yanga ambayo itakuwa ni ya kwanza ya kirafiki ya kimataifa ya Marcio Maximo.

Mbali na hivyo, mechi hiyo itakuwa ni ya kwanza ya Maximo akiwa na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa.
Pia itakuwa ya kwanza ya Maximo katika ardhi ya Tanzania Bara baada ya kuingoza Yanga katika mechi za kirafiki, zote zikiwa zimepigwa visiwani Zanzibar.
Thika kutoka Kenya itakipiga na Yanga katika mechi ya kirafiki ya kimataifa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
George Otieno ambaye ni mmoja wa maofisa wa Thika amesema lengo lao ni kuta kuifunga tu Yanga.
“Sisi tuko vizuri na tunachotaka ni ushindi, hatuwezi kufunga safari kutoka Kenya kuja kushindwa.

“Tunajua Yanga ni timu kongwe kuliko sisi, bora kwa maana ya ukongwe lakini kiwango chetu kipo juu zaidi,” alisema.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox