STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 8 Septemba 2014

JERRY MURO MSEMAJI MPYA WA YANGA

Mwandishi wa habari, Jerry Muro ndiye atakuwa msemaji wa klabu ya Yanga.
Muro anatarajia kuanza kazi ndani ya siku chache baada ya kumalizana na uongozi wa klabu hiyo.

Muro anachukua nafasi ya Baraka Kizuguto ambaye sasa atakuwa akifanya kazi nyingine za klabu hiyo.

Muro aliwahi kufanya kazi ITV kabla ya kuhamia TBC One na kupata mafanikio makubwa katika vipindi alivyokuwa akiviendesha.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox