STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 8 Septemba 2014

MANCHESTER UNITED YASISITIZA RADAMEL FALCAO HAJADANGANYA UMRI, KWELI ANA MIAKA 28, SIO 30!!

In action: Manchester United are satisfied with assurances from Radamel Falcao that he is indeed 28 years old
  Manchester United wameridhika na nyaraka za  Radamel Falcao kuwa kweli ana umri wa miaka 28 

MANCHESTER United wamejiridhisha kuwa nyota wao mpya, Mcolombia, Radamel Falcao hajadanganya umri wake.
Ripoti ziliibuka mwishoni mwa wiki kuwa Falco ana miaka 30 na sio 28.
Jambo hilo lilionekana kuteka hisia za watu wengi kwasababu majira ya kiangazi mwakani United wana mpango wa kumpa mkataba mrefu nyota huyo baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo ulioigharimu paundi milioni 6.
Mkataba wanaotarajia kumpa Falcao utawafanya United wafikishe paundi milioni 52 katika usajili wa Mcolombia huyo.
Inafahamika kuwa United waliridhika na nyaraka zilizotolewa siku ya mwisho ya usajili juu ya mshambuliaji huyo.
New start: Reports resurfaced over the weekend claiming that Falcao is 30, not 28, but they appear untrue
Mwanzo mpya: Ripoti zinaeleza kuwa Falcao ana miaka 30, na sio 28, lakini United wanadai sio kweli 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox