STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 27 Septemba 2014

MANCHESTER UNITED INGEFUNGWA LEO...WAYNE ROONEY ANGEBEBA MSALABA BAADA YA KUONESHWA KADI NYEKUNDU! ANGALIA MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA LEO

Manchester United striker Wayne Rooney, centre, is shown a red card by referee Lee Mason
Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney, katikati akioneshwa kadi nyekundu na mwamuzi  Lee Mason

WAYNE Rooney amekuwa shujaa kwa kuifungia Manchester United bao moja katika ushindi wa 2-1 dhidi ya West Ham leo uwanja wa Old Trafford.
Licha ya kazi hiyo nzuri, Rooney alisababisha United icheze ikiwa pungufu kufuatia kuoneshwa kadi nyekundu.
Nahodha huyo wa mashetani wekundu alifunga goli la kuongoza katika dakika ya tano na Robin van Persie aliongeza goli la pili katika dakika ya 22.
Sakho alitumia makosa ya mabeki wa United na kuwafungia wageni goli la kufutia machozi.
Rooney  alioneshwa kadi nyekundu baada ya kumfanyia unyama Stewart Downing  katika dakika ya 59.
Wayne Rooney received a straight red after a foul on Stewart Downing of West Ham
Wayne Rooney akipokea kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kumfanyia rafu mbaya Stewart Downing wa West Ham
United captain Wayne Rooney walks off the pitch after receiving a red card for a foul on Stewart Downing
Nahodha wa United,  Wayne Rooney akitoka uwanjani baada ya kuoneshwa kadi nyekundu
ENGLAND: Premier League
04:45FinishedLiverpool1 - 1Everton


07:00FinishedChelsea3 - 0Aston Villa


07:00FinishedCrystal Palace2 - 0Leicester


07:00FinishedHull City2 - 4Manchester City


07:00Finished Manchester United2 - 1West Ham


07:00FinishedSouthampton2 - 1QPR


07:00FinishedSunderland0 - 0Swansea 
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox