STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 28 Septemba 2014

SAMBA AFUNGIWA MECHI MBILI BAADA YA KUWAONESHEA MASHABIKI KIDOLE CHA KATI...


Christopher Samba was racially abused by Torpedo Moscow fans on Sunday, playing for Dynamo Moscow
Christopher Samba alifanyiwa kitendo cha kibaguzi 

BEKI wa zamani wa Queens Park Rangers na Blackburn Rovers, Christopher Samba amefungiwa mechi mbili na chama cha soka cha Urusi (RFU) kufuatia kujibu mapigo kwa kufanyiwa kitendo cha ubaguzi wa rangi.
Beki huyo raia wa Congo, alikuwa anaichezea Dynamo Moscow jana jumapili na alifanyiwa kitendo hicho na mabeki wa Torpedo Moscow. 
Kujibu mapigo, Samba aliwaoneshea kidole cha kati kinachoashiria matusi na alitolewa kipindi cha pili.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox