STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 4 Septemba 2014

WAYNE ROONEY AITENDEA HAKI BEJI YA UNAHODHA, AIPIGIA MOJA ENGLAND IKIICHARAZA 1-0 NORWAY

Never in doubt: England captain Wayne Rooney smashes home a penalty to give England the lead midway through the second half at Wembley
  Nahodha wa England ,Wayne Rooney akifunga goli kwa mkwaju wa penalti na kuipa timu yake bao la kuongoza katika uwanja wa nyumbani wa Wembley dhidi ya Norway.
All smiles: Rooney is congratulated after scoring the winner for England in their first match since returning from the World Cup 
Tabasamu tu: Rooney akipongezwa baada ya kuifungia England bao katika mechi yao ya kwanza tangu warudi kutoka kombe la dunia.
Kikosi cha England: Hart 6, Stones 6.5 (Chambers 81), Jones 6.5, Cahill 6.5 (Jagielka 84), Baines 6, Oxlade-Chamberlain 6 (Delph 69, 6), Henderson 6, Wilshere 6.5 (Milner 69, 6), Sterling 7.5, Rooney 6.5 (Welbeck 70, 6), Sturridge 6.5 (Lambert 89).
Wachezaji wa akiba: Forster, Rose, Townsend. 
Goals: Rooney 68.
Kikosi cha Norway: Nyland 6, Elabdellaoui 5.5, Nordtveit 6, Forren 6, Linnes 5 (Flo 36, 6), Skjelbred 6.5 (Elyounoussi 69, 6), Johansen 6.5, Jenssen 6 (Pedersen 87), Daehli 6 (Konradsen 57, 6), King 6 (Nielsen 76), Elyounoussi 6 (Kamara 78).
Wachezaji wa akiba: Jarstein, Semb Berge, Hagen, Samuelsen, Tettey, Mohamed Elyounoussi, Hansen.
Mwamuzi: Jorge Sousa (Porto).
Watazamaji: 40,181. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox