STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 8 Oktoba 2014

CAVANI ANAPSWA KUHAMA PSG - SUAREZ.

MCHEZAJI wa zamani wa kimataifa wa Hispania Luis Suarez anaamini kuwa Edinson Cavani anapaswa kuondoka Paris Saint-Germain-PSG kwasababu siku ataendelea kuwa chaguo la pili mbele ya Zlatan Ibrahimovic. Matajiri hao wa Ufaransa walitoa kitita cha euro milioni 64.5 kwa ajili ya Cavani akitokea Napoli katika majira ya kiangazi mwaka 2013na mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Uruguay amefunga mabao 25 katika mechi 43 alizocheza katika msimu wake wa kwanza PSG pamoja na kucheza pembeni ili kumpa nafasi Ibrahimovic kuchezeshwa katikati. Cavani amaekuwa akipata muda mwingi wa kucheza katika nafasi yake ya ushambauliaji wa kati msimu huu kwasababu ya kukosekana kwa Ibrahimovic aliyekuwa majeruhi lakini ameshindwa kufunga mabao kama ilivyotegemewa. Kumekuwa na tetesi kuwa nyota huyo mwenye umri wa miaka 27 anataka kuikacha timu hiyo na Suarez anafikiri itakuwa hatua nzuri kuchukua kwa mustakabali wake. Suarez amesema anafikiri Cavani anapswa kuondoka kwasababu Ibrahimovic ni mchezaji imara na aliyekamilika zaidi yake hivyo ziku zote ataendelea kucheza nyuma yake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox