STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 9 Oktoba 2014

FERGUSON AUNGA MKONO MPANGO WA VAN GAAL KUUNDA UPYA KIKOSI CHA UNITED.

MENEJA wa zamani wa klabu ya Manchester United, Sir Alex Ferguson amedai kuwa Louis van Gaal anafanya sahihi kutengeneza kikosi chake mwenyewe Old Trafford. Akihojiwa na luninga ya MUTV, Ferguson aliunga mkono mpango huo wa Van Gaal na kudai kuwa ana uzoefu wa kutosha wa kufanya hivyo. Van gaal alitumia zaidi ya paundi milioni 150 wakati wa kipindi cha usajili wa majira ya kiangazi ukiwemo usajili uliovunja rekodi nchini Uingereza wa paundi milioni 59.7 kwa ajili ya kiungo Angel Di Maria. Kocha huyo pia amewaacha wachezaji 14 akiwemo Danny Welbeck aliyekwenda Arsenal kwa kitita cha paundi milioni 16 toka alipotua hapo Julai mwaka huu. Ferguson alistaafu Mei mwaka jana na kumuachia nafasi yake David Moyes ambaye naye alidumu kwa kipindi miezi 10 pekee kabla ya kuingia Van Gaal.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox