STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 9 Oktoba 2014

MAN UNITED WASAHAU RONALDO KURUDI - MENDEZ.

WAKALA wa mshambuliaji nyota wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo amedai kuwa nyota huyo hana mpango wowote wa kurejea Manchester United na anatarajia kutundika daruga zake akiwa Real Madrid. Ronaldo mwenye umri wa miaka 29 tayari amefunga mabao 15 msimu huu ikiwemo hat-trick yake ya 22 katika La Liga. Kumekuwa na tetesi zinzomhusisha Ronaldo na kurejea katika klabu yake ya zamani ya United lakini taarifa hizo zimekanushwa na wakala wake Jorge Mendez. Mendez amesema Ronaldo ana furaha Madrid na ataendelea kuvunja rekodi zote na kustaafu akiwa hapoi. Wakala huyo aliendelea kudai kuwa haitawezekana kutokea mchezaji wa aina yake kwa mingi sana ijayo kwa kila siku anazidi kuimarika na atendelea hivyo mpaka atakapofikia miaka 40. Ronaldo aliondoka United kwenda Madrid mwaka 2009 kwa kitita cha paundi milioni 80.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox