STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 9 Oktoba 2014

INTER YAANZA TENA KUMNYATIA ANDRE AYEW.

KLABU ya Inter Milan imeanza tena mipango ya kutaka kumsajili winga mahiri wa kimataifa wa Ghana Andtre Ayew. Vyombo vya habari nchini Ufaransa vimeripoti kuwa Inter wanamfuatilia kwa karibu Ayew ambaye mkataba wake unamalizika katikati ya mwezi ujao. Tetesi za Inter kumtaka Ayew sio mpya kwani mwaka 2011 zilizuka tetesi hizo na winga hakuwa kupinga au kuonyesha nia ya kuondoka katika klabu yake ya sasa Marseille. Huku Liverpool, Newcastle na Liverpool nazo zikionyesha kumuhitaji, inakadiriwa kuwa kitita cha euro milioni 11 kinaweza kumng’oa Marseille. Lakini kutokana na ujio wa kocha mpya Marcelo Bieslsa, Ayew ambaye ni mototo wa zamani wa nguli wa soka wa Ghana Abeid Pele ameanza kurejesh makali yake taratibu yaliyokuwa yamepotea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox