STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 9 Oktoba 2014

REDKNAPP ADAI VIEIRA ALITAKA KUJIUNGA NA SPURS.

MENEJA wa zamani wa klabu ya Tottenham Hotspurs, Harry Redknapp amedai kuwa nguli wa soka wa zamani wa Arsenal Patric Vieira alikuwa akitaka kijiunga klab hiyo mwishoni labla ya kuamua kutundika daruga rasmi. Kiungo huyo wa kimataifa wa Ufaransa aliitumikia Arsenal kwa miaka tisa na kuingoza timu hiyo kushinda mataji matatu ya Ligi Kuu. Vieira ambaye pia aliwahi kuwa nahodha wa Arsenal alikuwa yuko tayari kwenda Spurs pamoja na uhasimu uliopo baina ya timu hizo ambazo zote zinatokea kaskazini mwa jiji la London. Redknapp alifikiria ulikuwa uamuzi sahihi lakini akasisitiza kuwa kama mtu yeyote ambaye anaweza kukubali kunyanyapaliwa na mashabiki wa Spurs alikuwa ni Vieira. Kocha huyo aliandika hayo katika kitabu chake kipya ambacho kimeingia mtaani hivi karibuni.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox