POLISI wanachunguza
madai kuwa mshambuliaji nyota wa Liverpool, Mario Balotelli wamemtishia
mwanamke ambaye alikuwa akipiga picha gari lake la kifahari aina ya
Ferrari. Inadaiwa mwanamke anamtuhumu nyota huyo mwenye umri wa miaka 24
kumfuata binti yake ambaye alikuwa akilipiga picha gari hilo lililokuwa
limeegeshwa pembeni. Polisi wa Manchester wamedai kupokea taarifa ya
tishio na wanafanya uchunguzi kwa kuwahoji watu mbalimbali ambao
walikuwa karibu na eneo hilo. Balotelli ameendelea kuandamwa na matukio
baada ya juzi kupokea onyo kutoka katika kllabu yake kwa kubadilishana
shati na beki wa Real Madrid Pepe wakati timu yake ikiwa nyumba kwa
mabao 3-0 katyika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya uliofanyika katika
Uwanja wa Anfield.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Ijumaa, 24 Oktoba 2014
KAMA KAWAIDA YAKE, BALOTELLI MATATANI TENA.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni