STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 17 Oktoba 2014

KUELEKEA KWENYE MCHEZO WA KESHO. ANGALIA UTANI UNAFANYWA NA MASHABIKI ........ LAKINI YOTE HAYA MWISHO KESHO.......

Maneno yanayo onekana katika picha ya basi la simba  "KILIMO KWANZA" na "BUNJU" ni maneo ambayo hayapo katika mabasi halisi ya Simba Sc.
Amini usiamini mechi ya Simba  na Yanga (Dar Derby), ni mchezo wenye hisia kali sana kwa mashabiki wa timu hizi mbili, tofauti na timu hizi zinapocheza na timu zingine.

Hayo ni maneno yanayo jaribu kukumbusha kipigo cha magoli 5-0 ambacho Simba ilimtandika Yanga mwaka 2012 katika uwanja wa taifa jijini Dar es salam. Simba ndiyo inaongoza kwa kumfuna Yanga magoli mengi mara wanapo kutana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox