STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 21 Oktoba 2014

MAN UNITED WAMEONYESHA KIWANGO BORA - VAN GAAL.


MENEJA wa klabu ya Manchester United, Luis van Gaal amedai kuwa kikosi chake kilicheza kwa kiwango bora kabisa kwa msimu huu wakati walipotoa sare ya mabao 2-2 dhidi ya West Ham United jana usiku katika mchezo wa Ligi Kuu. Mara mbili United walitoka nyuma na kufunga mabao yake kupitia kwa Marouane Fellaini na Daley Blind na kufuta mabao ya wenyeji wao yaliyofungwa na Stephane Sessegnon na Saido Berahino. Akihojiwa Van Gaal amesema kilichomsikitisha na kucheza kwa kiwango bora kwa msimu halafu wameshindwa kupata matokeo yaliyoridhisha. Kocha huyo amesema kwa jinsi kikosi chake kilivyocheza kilistahili kuondoka na alama zote tatu muhimu lakini aliwapongeza wapinzani wao kwa kujitahidi na kufanya siku yao kuwa ngumu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox