STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 7 Oktoba 2014

ROBERTO DI MATTEO SASA KOCHA MPYA SCHALKE O4


Aliyekuwa meneja wa Chelsea na Wesbromwich Albion kwa nyakati tofauti, Roberto Di Matteo sasa amelamba shavu lingine nchini Ujerumani baada ya leo hii klabu ya Schalke 04 kumtangaza kuwa meneja mpya wa klabu hiyo.

Roberto Di Matteo - Chelsea FC v FC Shakhtar Donetsk - UEFA Champions League
Roberto Di Matteo
Di Matteo, mwenye asili ya nchini Italy, amejiunga na Schalke baada ya aliye kuwa  kocha wa timu hiyo, Jens Keller kufungashiwa virago kwa sababu ya matoke mabavu yanayo iandama klbub hiyo tanga ligi kuu nchi Ujermani msimu wa 2014/2015 ianze.

Schalke ipo katika nafasi ya 11 kwenye msimamo wa Bundesliga wakiwa wamejikusanyia jumla ya pointi nane tu kutoka michezo saba walizocheza ambapo pia wamefanikiwa kushinda mechi mbili pekee kati hizo.

Lakini katika mashindano ya klabu bingwa barani Ulaya, Schalke ipo katika nafasi ya tatu katika kundi lao baada ya kutoa sare kwenye mechi mbili alizozicheza mpaka sasa ambopo moja kati ya hizo mechi ni ile dhidi ya Chelsea ambayo walitoka sare ya 1-1 dimbani Stanford Bridge.

Kati ya mechi ngumu ambayo Schalke 04  inategemea kucheza ikiwa chini ya Di Matteo ni mchezo ujao wa Novemba 25 dhi ya  Chelsea ( klabu bingwa barani Ulaya).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox