STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 7 Oktoba 2014

TAIFA STARS KUPAMBANA KIUME NA BENIN BILA SAMATTA, ABAKI DR CONGO AKITIBIWA



Taifa Stars itapambana vilivyo bila ya kuwa na mshambuliaji wake Mbwana Samatta wakati inaivaa Benin katika mechi ya kirafiki Jumamosi jijini Dar es Salaam.


Stars inacheza mechi hiyo ya kirafiki dhidi ya Benin ikiwa chini ya kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa.
Samatta aliumia katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya nusu fainali dhidi ya Setif ya Algeria.
Habari za uhakika kutoka katika kambi ya Stars jijini Dar zinaeleza kuwa Samatta amebaki DR Congo akitibiwa.
"Kweli Samatta hajaingia kambini, sisi tayari tunaendelea na mazoezi," alisema mmoja wa wachezaji.
Wachezaji wengine wa Stars wanaocheza nje ya Tanzania kama Thomas Ulimwengu, Mwinyi Kazimoto na Juma Luizio wameishajiunga na kikosi hicho.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox