STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 7 Oktoba 2014

WENGER VS MOURINHO...

MENEJA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amepuuzia mzozo wake na meneja wa Chelsea Jose Mourinho wakati kikosi chake kilipotandikwa mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu jana. Wawili hao walikwaruzana baada ya mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez kukwatuliwa na Gary Cahill wa Chelsea katikati ya kipindi cha pili ambapo Wenger alimsukuma Mourinho kifuani. Wawili hao walitenganishwa na kamisaa wa mchezo huo Jonathan Moss ambapo ingawa Wenger anaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa tukio lake hilo mwenyewe amelipa uzito mwepesi wakati akihojiwa. Wenger aliwaambia wana habari kuwa hajutii kiti alichofanya kwani haoni kosa lake kwani alizuia kwenda alipotaka bila sababu yoyote. Wenger amesema alichokuwa akitaka yeye ni kwenda kumuangalia mchezaji wake aliyeangushwa chini lakini Mourinho akamzuia ndio maana ikatokea kutoelewana baina yake lakini katika mpira jambo hilo ni la kawaida. Kwa upande wake Mourinho amesema alimzuia Wenger kwakuwa alijua anakata kumshinikiza mwamuzi kutoka kadi nyekundu kwa faulo aliyocheza Cahil.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox