STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 2 Desemba 2014

MADRID NI KAMA FAMILIA YANGU YA PILI - RONALDO.

MSHAMBULIAJI nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amesema kikosi cha sasa ni kama familia yake ya pili na anadhani hali katika vyumba vya kubadilishia nguo ni nzuri ambayo hajawahi kuiona kwa miaka kadhaa. Nyota huyo ambaye ameteuliwa miongoni mwa wachezaji watatu watakaogombea tuzo ya Ballon d’Or sambamba na Lionel Messi na Manuel Neuer amekuwa katika kiwango bora msimu huu. Ronaldo amefunga mabao 26 katika mechi 20 za mashindano yote alizocheza huku akishuhudia klabu yake ikivunja rekodi ya kucheza mechi 16 bila kufungwa. Akihojiwa Ronaldo amesema Madrid imekuwa kama familia yake ya pili kwani amekuwa akifanya nao kazi kila siku na anafurahia kuwa pamoja na wachezaji wenzake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox