STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 4 Desemba 2014

NEUER ANASTAHILI TUZO YA BALLON D'OR DINO ZOFF.

NGULI wa soka wa Italia, Dino Zoff anaamini Manuel Neuer anastahili kushinda tuzo ya Ballon d’Or lakini anafikiri kati ya Cristiano Ronaldo au Lionel Messi ndiye atachukua tuzo hiyo. Jumatatu Shirikisho la Soka la Dunia-FIFA lilitangaza orodha ya mwisho ya wachezaji watatu watakaogombe tuzo hiyo huku Neuer ambaye aliisaidia Ujerumani kushinda Kombe la Dunia akitajwa katika orodha hiyo. Zoff anafananisha kinyang’anyiro cha safari hii na kile cha miaka 40 iliyopita ambacho yeye alikuwa mshindi wa pili mbele ya Johan Cruyff aliyenyakuwa tuzi hiyo. Akihojiwa Zoff amesema Neuer ni kipa bora na anastahili kushinda tuzo hiyo lakini itakuwa ngumu kwake kutokana na wachezaji aliopambanishwa nao. Nguli huyo mwenye umri wa miaka 72 ambaye aliwahi kuwa golikipa wa zamani wa Juventus amesema jambo hilo liliwahi kumtokea yeye mwaka 1973 kwa kupangwa katika orodha hizo sambamba na Cruyff.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox