STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 4 Januari 2015

RONALDO ANAWEZA KUREJEA UNITED.

MENEJA msaidizi wa zamani wa klabu ya Manchester United Mike Phelan amesema kuwa nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo anaweza kusikiliza kama klabu hiyo ikijaribu kumnunua tena. Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ureno ametengeneza mahusiano mazuri na mashabiki wa klabu hiyo katika kipindi alichoichezea kabla ya kujiunga na Madrid kwa kitita cha paundi milioni 80. Phelan anaamini kuwa Ronaldo anaweza kurejea United kwani alifurahia katika kipindi chote alichokuwepo hapo kwasababu ndio maisha yake ya soka yalipoanza kung’ara. Pamoja na hayo Phelan anadhani kwasasa itakuwa mapema mno kwa Ronaldo kurejea Old Trafford hususani kutokana na mafanikio aliyopata na hadhani kama klabu hiyo inaweza kumruhusu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox