STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 4 Januari 2015

SINA MPANGO WA KUONDOKA ARSENAL - WENGER.

MENEJA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza kuwa asingeweza kuondoka katika timu hiyo hata kama wangeshindwa kunyakuwa Kombe la FA msimu uliopita. Arsenal walimaliza ukame wao wa vikombe wa miaka tisa kwa kuifunga Hull City kwa mabao 3-2 katika mchezo wa fainali uliofanyika katika Uwanja wa Wembley Mei mwaka jana. Akiulizwa na wanahabari kama angeondoka kwa kushindwa kunyakuwa Kombe la FA, Wenger amesema isingewezekana kwani hakuona umuhimu huo. Kocha huyo aliendelea kudai kuwa katika mechi 1000 alizoisimamia Arsenal ameshinda 600 hiyo inamaanisha ana wastani wa ushindi kwa asilimia 60 hivyo haoni sababu ya kujiuzulu kwani anafanya kazi yake vyema. Wenger amesema anaheshimu mkataba wake na ataendelea kuutumikia mpaka hapo wakati wake utakapofika.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox