STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 18 Machi 2015

BAYERN NDIO WAFALME WA PASI NYINGI ULAYA.

KLABU ya Bayern Munich imetajwa kuwa timu kinara kwa kumiliki mpira barani Ulaya kwa mujibu ya orodha iliyotolewa hivi karibuni. Katika orodha hiyo Bayern iliyo chini Pep Guardiola imemiliki mpira asilimia 71 msimu huu, wakifuatiwa kwa karibu na Barcelona walioko nafasi ya pili kwa kumiliki asilimia 70. Paris Saint-Germain wao wako katika nafasi ya tatu kwa kumiliki asilimia 64 wakifuatiwa na AS Roma ya Italia katika nafasi ya nne waliomilikia mpira asilimia 62. Tano bora inafungwa na timu za Uingereza kutoka jiji moja ambazo ni Manchester City na Manchester United ambao kwa pamoja wao wana asilimia 60. Timu za Juventus, Real Madrid, Inter Milan na Olympique de Marseille ndio zinakamilisha orodha ya 10 bora wote wakiwa wamefungana kwa kuwa na asilimia 59 ya kumiliki mpira.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox