STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 19 Aprili 2015

RONALDO APUNGUZA MACHUNGU YA KUKOSA PENATI KWA KUFUNGA GOLI REAL IKISHINDA BERNABEU


MWANASOKA bora wa dunia na mshambuliaji wa Real Madrid na Ureno, Cristian Ronaldo angejilaumu mno kufuatia kukosa mkwaju wa penalti wakati Madrid ikiongoza kwa bao moja, lakini baadaye akawa shujaa kwa kufunga goli la tatu Real ikishinda 3-1 dhidi ya Malaga katika mechi ya ligi kuu Hispania iliyopigwa usiku huu uwanja wa Santiago Bernabeu.



Magoli mengine ya Real Madrid yamefungwa na Sergio Ramos na James Rodriguez, pasi zote zikitoka kwa CR7.
Nahodha wa Real Madrid, Sergio Ramos akishangilia goli na Cristiano Ronaldo
Sergio Ramos akishangilia goli alilofunga dakika ya 24 dhidi ya Malaga
James Rodriguez naye alicheka na nyavu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox