STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 19 Aprili 2015

SUAREZ ATIKISA NYAVU TENA BARCELONA IKIIFUNGA VALENCIA... MESSI KAMA KAWA

FC BARCELONA imeikandamiza Valencia mabao 2-0 katika mechi ya ligi kuu Hispania, La Liga  iliyomalizika usiku uwanja wa Camp Nou.
Suarez (left) lashed the ball in after neat play from Messi to continue his fine form for Barcelona
kama kawaida baada ya Luis Suarez kuichapa PSG mabao mawili kati ya 3-1 ambayo Barcelona ilishinda katikati ya wiki huku Neymar Jr akifunga moja, Muuruguay huyo leo amefunga goli moja.
Gola la pili limefungwa na Lionel Messi.
Baada ya kufunga, Messi ameandika katika ukurasa wake wa facebook kuwa ana matumaini ya kufunga zaidi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox