STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 19 Aprili 2015

ARSENAL YATINGA FAINALI FA, SANCHEZ SHUJAA....

ALEXIS Sanchez jana amekuwa mwiba mkali kwa Reading baada ya kufunga magoli mawili katika ushindi wa Arsenal wa 2-1 katika mechi ya nusu fainali ya kombe la FA.
Mechi hiyo ilimalizika kwa sare ya 1-1 katika dakika 90 na zikaongezwa dakika 30.
Sanchez (left) rifles Arsenal into the lead against Reading in the FA Cup semi-final against Reading
Awali Sanchez alifunga goli la kwanza dakika ya 40' lakini Garath McClearly kusawazisha dakika ya 54'.
Sanchez alifunga goli la pili dakika ya 105 na kuwapeleka Washika bunduki fainali.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox