Mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza, klabu ya Chelsea, inatarajia kutumia uwanja wa Wembley kwa muda kupisha marekebisho uwanja wao wa Stamford Bridge.
Chelsea itapewa Wembley kama itakidhi vigezo vilivyotolewa na uongozi husika wa uwanja huo ikiwemo kuhakikisha mashabiki watakao ingia uwanjani hawapungui elfu 50 ili wasitofautiane
Mchakato wa marekebisho ya Stamford Bridge yalianza mwaka mmoja uliopita chini ya mmiliki wa klabu hiyo Roman Ibramovich , lengo kuu likiwa ni kuongeza viti ili kuruhusu mashabiki wengi kuingia na kuongeza mapato tofauti na ilivyo sasa unaingiza mashabiki elfu 41 tu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni