STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 23 Juni 2015

NEYMAR ADAI BRAZIL INAWEZA KUNYAKUWA COPA AMERICA BILA YEYE.

MSHAMBULIAJI nyota wa Brazil, Neymar anaamini kikosi cha timu ya taifa ya nchi hiyo kina wachezaji wenye ubora na uzoefu unaohitaji kea ajili ya kunyakuwa taji la michuano ya Copa America inayoendelea nchini Chile bila uwepo wake. 

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 23 aliondoka katika kambi ya Brazil jana baada ya kulimwa adhabu ya kutocheza mechi nne kwa kosa la kumpiga kichwa Jeison Murillo wakati wa mchezo ambao Brazil ilitandikwa bao 1-0 na Colombia Alhamisi iliyopita. 

Lakini pamoja na kutokuwepo Neymar bado ana uhakika wachezaji wenzake waliobakia wana uwezo wa kuipeleka timu hiyo fainali na hatimaye kunyakuwa taji. 

Neymar mwenye umri wa miaka 23, amesema anadhani Brazil bado ina uhai bila uwepo wake kwani wachezaji wenzake wameonyesha kuwa wanaweza kushinda mechi na taji la michuano hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox