STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 26 Juni 2015

BLATTER ADAI HAJAJIUZULU.

RAIS wa Shirikisho la Soka Duniani-FIFA Sepp Blatter amesema hajajiuzulu nafasi yake hiyo katika shirikisho hilo. 

Blatter mwenye umri wa miaka 79 alikuwa akifikiriwa kuwa amejiuzulu nafasi hiyo ambayo ameiongoza kwa kipindi cha miaka 17 kufuatia madai ya ufisadi yaliyoikumba shirikisho hilo. 

Lakini kwa mujibu wa gazeti la Blick, Blatter alikaririwa akidai kuwa hajajizulu bali ameacha mustakabali wake uamuliwe katika Mkutano Mkuu wa FIFA. 

Kauli hiyo imezusha hofu kuwa Blatter anafikiria kugombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi mwingine.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox