Picha zimeoonesha Gonzalo Jara alimfanyia kitendo kibaya Cavani wakiwa uwanjani kwenye mechi ya robo fainali.
Lakini baada ya kitendo hicho Cavani alimfanyia madhambi Jara na akapewa kadi nyekundu na kutolewa nje ya uwanja.
Baada ya kitendo kile kupitiwa hivi sasa imetoka adhabu kwenda kwa Gonzalo ambapo amefungiwa kucheza michezo iliyobakia ya Copa America.
Nchi yake ya Chile itamkosa kwenye mechi ya nusu fainali au fainali kama wakiingia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni