STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 25 Juni 2015

WENGER AANZA USAJILI ASAJILI KINDA WA ROMANIA KWA EURO 100,000.

KLABU ya Arsenal imekamilisha usajili wa Vlad Dragomir kutoka klabu ya ACS Poli Timisoara kwa ada ya euro 100,000 huku kiungo huyo chipukizi akiepwa mkataba wa miaka mitatu. 

Usajili wa Dragomir mwenye umri wa miaka 16 unakuwa wa kwanza kufanyika katika kipindi hiki cha kiangazi na anatarajiwa kujiunga na akademi ya klabu hiyo. 

Chipukizi huyo ambaye alikuwa nahodha wa kikosi cha timu ya taifa ya Romania kea vijana chini ya umri wa miaka 16, alikuwa akihusishwa na tetesi za kwenda Inter Milan lakini mwenyewe amekiri nafasi ya kujiunga na Arsenal waliyopata ilikuwa ngumu kuikataa.

 Akihojiwa Dragomir amesema ofa aliyopewa na Arsenal ilionekana kuwa bora kwake na amefurahi kukamilisha usajili huo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox