STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 25 Juni 2015

HIKI HAPA KIFAA KIPYA CHA MAN CITY KINDA KUTOKA UTURUKI.

KLABU ya Manchester City imefanikiwa kumsajili mshambuliaji kinda mwenye umri wa miaka 19 Enes Unal kutoka klabu ya Bursaspor. 

Nyota huyo amefunga mabao manne katika mechi 35 za Ligi Kuu ya Uturuki alizoichezea timu hiyo lakini anaonekana atakuja kuwa moto baadae baada ya kuweka rekodi ya kufunga mabao 170 katika mechi 102 alizocheza katika timu za vijana. Kabla ya kuchagua kujiunga na City, Unal alikuwa akiwindwa pia na klabu za Arsenal, Chelsea na Manchester United. 

Rais wa Bursaspor, Recep Bolukbasi alithibitisha taarifa hizo na kudai kuwa Unal anatarajiwa kwenda Uingereza mwishoni mwa wiki hii kukamilisha usajili huo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox