STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 24 Juni 2015

PELLEGRINI AMPONDA MOURINHO.

MENEJA wa Manchester City, Manuel Pellegrini amemponda hasimu wake Jose Mourinho akidai meneja huyo wa Chelsea anapenda kusifiwa kwa kila kitu. 

Mourinho ameingoza Chelsea kunyakuwa taji la Ligi Kuu msimu uliopita, wakimaliza kea alama nane mbele ya City walioshika nafasi ya pili. 

Lakini Pellegrini anaamini tabia ya jinsi wao wawili wanavyosheherekea ubingwa unaonyesha kwa kiasi walivyo tofauti huku kocha huyo raia wa Chile akimtuhumu Mourinho kutotambua mchango wa wachezaji wake. 

Akihojiwa kuhusiana na hilo Pellegrini amesema wakati Mourinho akishinda anataka sifa zote apewe yeye hali ambayo ni tofauti kwake kwani aliposhinda taji hilo hakusema lolote. 

Hata hivyo kocha huyo aliongeza kuwa hana tatizo lolote na Mourinho na pia sio adui yake lakini anaamini wanatofautiana kwa kiasi kikubwa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox