STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 24 Julai 2015

CRISTIANO RONALDO AWASHA MOTO REAL MADRID IKIIPIGA 4-1 MANCHESTER CITY

Mbele ya mashabiki 100,000 katika uwanja Melbourne Cricket, Australia kulikuwa na burudani ya aina yake kati ya Manchester City na Real Madrid.
Vijana wa Manuel Pellegrini leo wamekufa 4-1 dhidi ya vijana wa Rafa Benitez.
Mwanasoka bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo ametupia goli moja dakika ya 25, huku Karim Benzema akifunga dakika ya 21, Pepe dakika ya  44 na Denis Cheryshev dakika ya 73 .
Bao la kufutia machozi kwa Manchester City limefungwa dakika ya 45 kwa mkwaju wa penalti na Yaya Toure.
Kuelekea katika mechi hiyo, Toure alisema Man City inahitaji kupunguza pengo lake na Real Madrid pamoja na FC Barcelona katika uwezo wa kusakata kandanda,  lakini kwa ushahidi huu pengo limezidi kuwa kubwa.

Ronaldo scored Madrid's second goal in a 4-1 win, with the forward scoring the second goal after prodding past Aleksandar Kolarov
Ronaldo akiifungia Real Madrid bao baada ya kumzidi maarifa beki wa Man City Aleksandar Kolarov
Manchester City's Yaya Toure (centre) prepares to take evasive action as Real Madrid keeper Keylor Navas attempts to punch the ball clear
Kiungo wa Manchester City, Yaya Toure (katikati) akijiandaa kupiga mpira, huku kipa wa Real Madrid, Keylor Navas akiokoa
Toure was on the end of a clattering from Navas and Sergio Ramos during the first half
Toure alikuwa chini ya ulinzi wa Navas na Sergio Ramos 
As well as Toure, Madrid defender Ramos was also caught as the three collided trying to win the ball in the pre-season friendly
 Toure alikuwa na shughuli kali 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox