STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 22 Julai 2015

FELIPE LUIS KUREJEA ATLETICO MADRID










Mlizi wa kushoto wa Chelsea Filipe Luis anakaribia kuihama klabu hiyo baada ya kuichezea kwa mwaka mmoja, hii ni kwa mujibu wa kocha mkuu wa timu hiyo Jose Mourinho.

Mchezaji huyo raia wa Brazil amechezea mara 26 tangu aliposajiliwa na Chelsea akitokea Atletico Madrid kwa kitita cha paundi milioni 16 wakati wa msimu wa joto. 

Hata vilabu hivyo viwili vimekubaliana mchezaji huyo arejee kwenye klabu yake ya zamani.

Mourinho amesema" Kwa wakati huu tunahitaji beki wa kushoto kwa sababu nafikiri tutamuuza Fillipe Luis leo au kesho.
Chelsea inadaiwa kuwa ina mpango wa kumnunua beki wa kushoto kutoka Augsburg, Abdul Baba Rahman.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox